Kuhusu Kokote App

Kokote ni njia rahisi zaidi ya kutafuta na kutangaza nyumba za kupanga kupitia simu yako ya mkononi. Lengo letu ni kuepusha usumbufu unaojitokeza pindi unapotafuta nyumba ya kupanga na pindi dalali/mwenyenyumba anapotafuta wapangaji huku tukikusadia kuepuka matapeli, kuokoa gharama na muda pia kwa kutumia app ya KOKOTE.


Isiyo na Gharama

Tumefanya kila liwezekanalo ili kushusha gharama za utafutaji nyumba hasa hasa nauli na gharama za mtu wa kati.


Yenye Usalama Zaidi

Tunathibitisha taarifa za nyumba zote na za watumiaji ili kukuletea huduma bora zaidi pasina kupoteza wakati wala fedha zako ili tukuhudumie na kesho tena.


Iliyo kwa wakati

Haiwezekani kutafuta nyumba zaidi ya wiki 3 tena mwaka 2017. Tunataka upate mahala pa kuishi ndani ya dakika 5 tu! ukikosa nyumba kwenye app yetu sisi wenyewe tunaingia mtaani kukutafutia.

Watumiaji

Tunahudumia makundi matatu makuu kwenye app ya KOKOTE kama ilivyoainishwa hapa chini.


 • Madalali/Wenyenyumba
 • Tengeneza pesa
 • Badilika kwa kwenda na wakati. Fanya shughuli zako nyingine wakati simu inakuletea wapangaji. Wasiliana nasi sasa.
 • Ipo kwa Kiswahili
 • Unganishwa na wateja wako
 • Tangaza nyumba nyingi kwa pamoja
 • Wapangaji
 • Dar es salaam tu
 • Kokote app inakupa uwezo wa kuchagua nyumba nyingi, kwa usalama na gharama nafuu zaidi kupitia simu yako ya mkononi.
 • Tazama nyumba zote bure
 • Fanya maamuzi kulingana na mahitaji
 • Taarifa zote zipo wazi (kodi, umeme n.k.)
 • Epuka utapeli wa madalali hewa.

 • Mashirika
 • Agosti 2017
 • Je unahitaji kutangaza, kupangisha ama kuuza nyumba nyingi za shirika lako na kwa unafuu zaidi bila kusumbuliwa?
 • Itakuwa rahisi zaidi
 • Tunakuhakikishia wateja
 • Fikia malengo kwa wakati

KOKOTE iko tayari kupakuliwa


Shusha KOKOTE APP kutafuta nyumba/vyumba vya kupanga au shusha KOKOTE WAKALA kutangaza nyumba/chumba kwa wapangaji.

Kwa watumiaji wa simu za Android pekee